بسم الله الرحمن الرحيم


بسم الله الرحمن الرحيم

UDOMSA.

Friday, 29 July 2011

USHAURI WA BURE: LEO NA KESHO.

USHAURI WA BURE: LEO NA KESHO.
Usisahau kutenga muda wako kwa ajili ya: …………
Usisahau kutenga muda wako kwa ajili ya kuisoma dini yako.
Usisahau kutenga muda wako kwa ajili ya kuisoma Quran na Maana yake.
Usisahau kutenga muda wako kwa ajili ya kutafuta sadaka ya kujitolea kwa ajili ya uislamu iwe muda, hali na mali.
Usisahau kutenga muda wako kwa ajili ya familia yako kuzungumza nayo mambo ya dini.
Usisahau kutenga muda wako kwa ajili ya kutembelea ndugu jamaa na marafiki.
Usisahau kutenga muda wako kwa ajili ya mkeo kama umeoa na mumeo kama umeolewa.
Usisahau kutenga muda wako kwa ajili ya kumfikiria Allah (sw) na maneno yake na makatazo yake,
Usisahau kutenga muda wako kwa ajili ya kuzifikiria neema na rehma alizokuneemesha mola wako.
Usisahau kutenga muda wako kwa ajili ya kujiombea dua na usitegemee dua za misikitini na mikusanyiko.
Usisahau kutenga muda wako kwa ajili ya kuiendea riziki ya Allah aliokupangia na ukinai na kuridhika nayo.
Usisahau kutenga muda wako kwa ajili ya kuongeza ujuzi juu ya Elimu yako ya mazingira na jamii ikuzungukayo .
Usisahau kutenga muda wako kwa ajili ya kuipata na kuitafuta elimu juu ya mwili wako na maumbile yako, kuepuka maradhi na madhara juu yake.
Usisahau kutenga muda wako kwa ajili ya kujishughulisha na hidma mbalimbali kwa ajili yako, uislamu na jamii yako kwa ujumla.
Usisahau kutenga muda wako kwa ajili ya kupumzika baada ya uchovu wa shughuli, mizunguko na fikra nzito.
Usisahau kutenga muda wako kwa ajili ya kuwakumbusha watu wako na wakaribu wako juu ya haya.
Ushauri huu utaendelea inshaalah, na mnaalikwa katika muendelezo huu kwa ajili ya kuusiana.
MUHIMU KUZINGATIA HAYA KWANI UJUMBE USHAWAFIKIA
WABILLAH TAWFIQ.

Saturday, 9 July 2011

SALAMU ZA KUWAAGA NDUGU ZETU-UDOMSA.

zwani.com myspace graphic comments
Twitter Backgrounds

Kila shukrani zimfikie Mola mlezi wetu na rehma na amani zimshukie Muhammad(saw),
Napenda kuchukua fursa hii kuwaatumia salamu za kuagana rasmi, kwa kutokuwepo pamoja tena katika chuo chetu hiki cha Dodoma almaaruf UDOM,sie ndugu zenu wa mwaka wa tatu tunakuageni ila tunakuachieni ujumbe muhimu sana na ujumbe huu pia kwetu tunaoondoka unatufaa sana, mie SULEIMAN ABDALLAH nimeuchagua kwa ujumla wa uzito wake kuwafikishia woote kwa maana ya wanaoondoka na wanobaki: UJUMBE wenyewe ni huu, kuwa
zwani.com myspace graphic comments
Twitter Backgrounds

PIA nawasisitiza kuwa;
zwani.com myspace graphic comments
Twitter Backgrounds

KWA SIE TUONDOKAO, UJUMBE.
Tunaoondoka tukaisimamaishe dini, hasa katika jitihada ndogo ya elimu tulioipata tunuie kwenda itumia vema ili jamii ya kiislamu na hata wasio ikanufaike nayo, tuonekane waislamu waliooelimika kwa kuyajua mazingira kutokana na level tuliofika, na sikutengana na uislamu na waislamu, swala zikaendelee mshikamano na jitihada za pamoja kama tulivyokuwa chuoni, wakina dada stara ikadumishwe na tuliokuwa hatuvai tukaanze kuvaa na kuonesha twaa ya amri ya Allah na mtume wetu, kwani hatujui lini tutarejea kwa mola.
Tukadumishe,kutenga muda na kuanzisha jitihada ya kuwa na elimu sahihi juu ya Uislamu na kuwahimiza ahali zetu juu ya msingi huu na kuifanyia kazi elimu hiyo kwani jamii yetu ina uchache na ukosefu mkubwa wa elimu sahihi kiasi makosa mengi juu ya dini tunayaona yakawaida.
NAWAAMBIA,
zwani.com myspace graphic comments
Twitter Backgrounds

NANYI MNAOBAKI PIA NAWAOMBEA DUA,
zwani.com myspace graphic comments
Twitter Backgrounds
zwani.com myspace graphic comments
Twitter Backgrounds

NINAMATUMAINI MAKUBWA KWA HATUA TULIYOFIKIA KATIKA PROGRAM ZETU NASEMA
zwani.com myspace graphic comments
Twitter Backgrounds

TUZIDI KUFANYA JUHUDI KATIKA HARAKATI ZAIDI KUIJENGA UDOMSA YENYE NGUVU YA UISLAMU KAMA VIJANA WAKIISLAMU,TUSEMENI,
zwani.com myspace graphic comments
Twitter Backgrounds

KWA KUMALIZIA SALAMU ZIMFIKIE MUHAMMAD, ALIYETUFUNDISHA UMOJA KAMA ALIVYOTUAMRISHA ALLAH SOTE TUMSIFU MTUME NA TUMWOMBEE MTUME WETU KWA KUMWAMBIA YAA MUHAMMAD
zwani.com myspace graphic comments
Twitter Backgrounds

NAWAAGA UDOMSA WOTE EX-UDOMSA,PRE-EX-UDOMSA NA UDOMSA WOOOOOOOOOOTE.
YOU HAVE TO FEE THE
zwani.com myspace graphic comments
Twitter Backgrounds

AS IAM
zwani.com myspace graphic comments
Twitter Backgrounds