NDUGU ZANGU KATIKA IIMANI NAPENDA KUWAKARIBISHA TENA KATIKA MTANDAO HUU WETU. UNAOMILIKIWA NA IDARA YA HABARI NA MAHUSIANAO CHINI YA JUMUIYA YA WANAFUNZI WA KIISLAMU CHUO KIKUU DODOMA (UDOMSA-UNIVERSITY OF DODOMA MUSLIM STUDENTS ASSOCIATION)
TUPO KATIKA NAMNA YA KUBORESHA ZAIDI ILI UJUMBE UWEZE KUWAFIKIA.
PIA TUNAPATIKANA KUPITIA BLOG YETU NYINGINE YAUDOMSA1 nayo PAMOJA NA HII LENGO NI MOJA. ILA KWA SASA TUTATOA UWANJA KWA WANAJUMUIYA NA VIJANA NA MASHEKHE WENGINE KUITUMIA BLOG YETU YA UDOMSA 1 KWA AJILI YA KUTOA NASAHA ZENU KWA UISLAMU WETU NA VIJANA KWA UJUMLA.
No comments:
Post a Comment